Free advice
Kadot36 2001 (Nairobi)
*JENNIFER*
Hey dear,
Wanaume wasikupee pressure hapa nje,
Take your time, avoid hizo rumours kwa tenje.
Usiskie fala flani mtalii,
Ati ooh nikikumarry nitakupeleka Paris...
Ni wangapi wako kwa list,
Usilie kwa choo Mami.
Take your time...
Mali safi ogopa hata macuzo wanaweza pita na wewe,
Sura ya kiafrica na complexion ya mjaka, you
Una standards Mami.
Walisema heights ni American,
Vibe yako Jamaican,
Na taste ni Italian,
But walisahau kusema your heart ni christian.
Mapenzi ni kwa wote but loyalty ni kwa mmoja.
So wasikuentice na masweetie na babe juu ziko outdated,
Usiletewe chips na ice cream for one night stand,
Value ya mapenzi ilipanda.
Ata mkulima huspend time na shamba ndio a harvest,
So fungua macho Mami.
Hakuna kitu huna,
Tembea hizi streets na maringo,
Ukitaka raise iyo ego
For the right man atakupata eagle,
Bora akuwe na the right heights.
Keep your focus kama imagination,
Ata wakiwa karibu na wewe usiwapee attention,
Waonyeshe Hadi mtu huearn affection,
Si kila saa kufanyiwa favours zinafuatwa na rejection.
Keep it real my friend,
Kama anadai Honeypot, then akuwe hapo till the last drop...
Naa si kushinda ameacha stretch marks kwa kila msichana.
Make him stretch himself visawasawa ili akufikie.
Loyalty is earned.
And so is royalty.
Na pia usisahau wanaume wanaweza oga na matope ili wakupate...
Kaa rada siku hizi we rarely marry,
So pea iyo conclusion time,usirush,
Don't settle for less,
Don't be part of a mess...
Lest urushwe chini ya gari.
Usijipendekeze,
Men settle for the best.
©kadot36 ✨
Font size:
Submitted by Kadot36 on May 17, 2021
Modified on March 05, 2023
- 1:16 min read
- 1 View
Quick analysis:
Scheme | ABCCDEFGGHIGJJJJCKLFMGJNNDOJJJJPQJNRSFSTUUSEV |
---|---|
Closest metre | Iambic hexameter |
Characters | 1,488 |
Words | 252 |
Stanzas | 1 |
Stanza Lengths | 45 |
Translation
Find a translation for this poem in other languages:
Select another language:
- - Select -
- 简体中文 (Chinese - Simplified)
- 繁體中文 (Chinese - Traditional)
- Español (Spanish)
- Esperanto (Esperanto)
- 日本語 (Japanese)
- Português (Portuguese)
- Deutsch (German)
- العربية (Arabic)
- Français (French)
- Русский (Russian)
- ಕನ್ನಡ (Kannada)
- 한국어 (Korean)
- עברית (Hebrew)
- Gaeilge (Irish)
- Українська (Ukrainian)
- اردو (Urdu)
- Magyar (Hungarian)
- मानक हिन्दी (Hindi)
- Indonesia (Indonesian)
- Italiano (Italian)
- தமிழ் (Tamil)
- Türkçe (Turkish)
- తెలుగు (Telugu)
- ภาษาไทย (Thai)
- Tiếng Việt (Vietnamese)
- Čeština (Czech)
- Polski (Polish)
- Bahasa Indonesia (Indonesian)
- Românește (Romanian)
- Nederlands (Dutch)
- Ελληνικά (Greek)
- Latinum (Latin)
- Svenska (Swedish)
- Dansk (Danish)
- Suomi (Finnish)
- فارسی (Persian)
- ייִדיש (Yiddish)
- հայերեն (Armenian)
- Norsk (Norwegian)
- English (English)
Citation
Use the citation below to add this poem to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Free advice" Poetry.com. STANDS4 LLC, 2023. Web. 29 Sep. 2023. <https://www.poetry.com/poem/100243/free-advice>.
Discuss the poem "Free advice" with the community...
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In